Proverbs 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali mali kidogo kwa uadilifu, kuliko mapato mengi kwa udhalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali mali kidogo kwa uadilifu, kuliko mapato mengi kwa udhalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali mali kidogo kwa uadilifu, kuliko mapato mengi kwa udhalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Machache yapatikanayo kwa wongofu ni mema kuliko mapato mengi yapatikanayo kwa njia zisizo sawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali mali kidogo kwa njia ya haki, kuliko mapato mengi kwa njia isiyofuatana na sheria ya Mungu.