Proverbs 16:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Mwenyezi Mungu huelekeza hatua zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali Bwana huziongoza hatua zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali BWANA huelekeza hatua zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali bwana huelekeza hatua zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wa mtu hujiwazia njia zake, lakini Bwana ndiye anayeiendesha miguu yake.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anaweza kufanya mipango yake, lakini Yawe anaongoza hatua zake.