Proverbs 17:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyang’anywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyang’anywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afadhali mtu akutwe na dubu jike aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kukutana na chui mke aliyenyang'anywa watoto ni kwema kuliko kukutana na mpumbavu aufuataye ujinga wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang’anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kukutana na dubu dike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mupumbafu katika upumbafu wake.