Proverbs 17:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuanzisha ugomvi ni kama kufanya ufa kwenye bwawa; achana na ugomvi kabla haujafurika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuanzisha ugomvi ni kama kufanya ufa kwenye bwawa; achana na ugomvi kabla haujafurika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji, kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuanzisha ugomvi ni kama kufanya ufa kwenye bwawa; achana na ugomvi kabla haujafurika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuzua magomvi ni kufungua maji, yajiendee tu; kwa hiyo acha magomvi ukiwa hujakenua meno bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuanzisha ugomvi ni kama kufungua maji ya kisima; achana na ugomvi mbele haujafurika.