Proverbs 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anaye mdhihaki maskini huonesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amdhihakiye maskini humsuta Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; ye yote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amchekaye maskini humtukana Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemdhihaki maskini anamtukana Muumba wake; anayefurahia maafa hatakosa kuadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Afyozaye maskini humsimanga aliyemwumba, afurahiaye mwangamizo hana budi hupatilizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amdhihakiye maskini humsuta Muumba wake; Naye aufurahiaye msiba hatakosa adhabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayechekelea masikini anamutukana Muumba wake; anayefurahia hasara hatakosa kuazibiwa.