Proverbs 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mhongaji, hongo ni kama hirizi; kila afanyacho hufanikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; kokote kigeukiapo, hufanikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mhongaji, hongo ni kama hirizi; kila afanyacho hufanikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho, ko kote kigeukiapo, hufanikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; kokote kigeukiapo, hufanikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mhongaji, hongo ni kama hirizi; kila afanyacho hufanikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matunzo ni kama kito kipendezacho machoni pake ayatoaye, po pote anapojielekeza hufanikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; Kila kigeukapo hufanikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa anayetoa kituliro ni kama hirizi; kila kitu anachofanya yeye anafanikiwa.