Proverbs 18:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jina la Mwenyezi-Mungu ni mnara imara; mwadilifu huukimbilia akawa salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina la Mwenyezi Mungu ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina la Bwana ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jina la Mwenyezi-Mungu ni mnara imara; mwadilifu huukimbilia akawa salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina la BWANA ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina la bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jina la Mwenyezi-Mungu ni mnara imara; mwadilifu huukimbilia akawa salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina la Bwana ni mnara wenye nguvu; ndipo, mwongofu anapokimbilia, akapona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jina la Yawe ni munara imara; mwenye haki anaukimbilia na kuwa salama.