Proverbs 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno ya uchongezi ni kama vyakula vitamu, huingia sehemu za ndani sana za mtu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo kitamu; ambacho hushuka moja kwa moja mpaka tumboni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno ya msingiziaji ni matamu kama vyakula vya urembo navyo hushuka tumboni ndani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo; Nayo hushukia pande za ndani za tumbo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno ya muchongeaji ni kama chakula kitamu ambacho kinashuka mpaka ndani kabisa ya tumbo.