Proverbs 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotofu wa midomo aliye mpumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afadhali maskini aendaye katika uadilifu wake, Kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkiwa aishikaye njia yake pasipo kukosa na mwema kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotofu wa midomo aliye mpumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali masikini mwenye mwenendo mukamilifu kuliko mutu mupotovu wa maneno na mupumbafu.