Proverbs 19:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, itakuwa vibaya kiasi gani kwa mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, tena ni vibaya zaidi mtumwa kuwatawala wakuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpumbavu hapaswi na kutumia yenye urembo, sembuse mtumishi, hapaswi na kuwatawala wafalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maisha ya anasa hayampasi mpumbavu; Sembuse mtumwa awatawale wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haifai kwa mupumbafu kuishi kwa raha; tena ni vibaya zaidi mutumwa kuwatawala wakubwa.