Proverbs 19:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hekima ya mtu humpa uvumilivu, ni kwa utukufu wake kusamehe makosa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye busara hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni fahari kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akili za mtu humvumilisha, utukufu wake umo katika kuwaondolea wengine mapotovu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye akili hakasiriki upesi; kusamehe makosa ni utukufu kwake.