Proverbs 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba, lakini wema wake ni kama umande juu ya majani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; Bali hisani yake kama umande juu ya majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba, lakini wema wake ni kama umande juu ya majani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba, bali wema wake ni kama umande juu ya majani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; Bali hisani yake kama umande juu ya majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba, lakini wema wake ni kama umande juu ya majani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukali wa mfalme ni kama ngurumo ya simba, lakini upole wake ni kama umande unyweshao majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; Bali hisani yake kama umande juu ya majani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kasirani ya mufalme ni kama ngurumo ya simba, lakini upendo wake ni kama umande juu ya majani.