Proverbs 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa wazee wake, lakini mke mwenye busara hutoka kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba na mali watu huachiwa na baba zao, lakini mwanamke mwenye akili hutoka kwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba na mali ni urizi mutu anaopata kwa babu zake, lakini muke mwenye akili anatoka kwa Yawe.