Proverbs 19:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uzembe ni kama usingizi mzito; mtu mvivu atateseka kwa njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uzembe ni kama usingizi mzito; mtu mvivu atateseka kwa njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uzembe ni kama usingizi mzito; mtu mvivu atateseka kwa njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uvivu humpatia mtu usingizi mwingi, nayo roho ya mtu afanyaye kazi na kulegeza mikono huona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uvivu ni kama usingizi muzito; mutu muvivu atateseka kwa njaa.