Proverbs 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemsaidia maskini anamkopesha Mwenyezi-Mungu; Mwenyezi-Mungu atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Mwenyezi Mungu, naye atamtuza kwa aliyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemsaidia maskini anamkopesha Mwenyezi-Mungu; Mwenyezi-Mungu atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amhurumiaye maskini humkopesha BWANA, naye atamtuza kwa aliyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amhurumiaye maskini humkopesha bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemsaidia maskini anamkopesha Mwenyezi-Mungu; Mwenyezi-Mungu atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahurumiaye mnyonge humkopesha Bwana, ndiye atakayemlipa tendo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemusaidia masikini anamukopesha Yawe; Yawe atamulipa kwa tendo lake jema.