Proverbs 19:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkanye mwanao, kwa maana kufanya hivyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mrudi mwanao, wakati bado liko tumaini, wala nafsi yako isifadhaike kwa kulia kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpige mwanao unapoweza kumngojea, aonyeke, lakini usiwaze moyoni mwako kumwua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azibu mwana wako wakati kungali bado tumaini lakini usitafute kumwangamiza.