Proverbs 19:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kichwani mwa mtu mna mipango mingi, lakini anachokusudia Mwenyezi-Mungu ndicho kitakachofanyika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la Mwenyezi Mungu ndilo litakalosimama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la Bwana ndilo litakalosimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kichwani mwa mtu mna mipango mingi, lakini anachokusudia Mwenyezi-Mungu ndicho kitakachofanyika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la BWANA ndilo litakalosimama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la bwana ndilo litakalosimama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kichwani mwa mtu mna mipango mingi, lakini anachokusudia Mwenyezi-Mungu ndicho kitakachofanyika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyoni mwa mtu yamo mawazo mengi, lakini shauri la Bwana ndilo litakalokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika moyo wa mutu muna mipango mingi, lakini anachokusudia Yawe ndicho kitakachokamilika.