Proverbs 19:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu kunaleta uhai; amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza, wala hatapatwa na baa lolote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu huongoza kwenye uzima, kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila kuguswa na shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana huelekea uhai; Atakaa ameshiba; hatajiliwa na ubaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu kunaleta uhai; amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza, wala hatapatwa na baa lolote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA huongoza kwenye uzima, kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila kuguswa na shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana huongoza kwenye uzima, kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila kuguswa na shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA huelekea uhai; Atakaa ameshiba; hatajiliwa na ubaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu kunaleta uhai; amchaye hujaliwa pumziko la kutosheleza, wala hatapatwa na baa lolote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana hupeleka uzimani, hivyo mtu hulala na kushiba pasipo kupatwa na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA huelekea uhai; Atakaa ameshiba; hatajiliwa na ubaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe kunaongoza kwenye uzima; anayemwogopa anajaliwa pumziko la kutoshelea, wala hatapatwa na ubaya wowote.