Proverbs 19:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwadhibu mwenye mzaha naye mjinga atapata akili; mwonye mwenye busara naye atapata maarifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpige mwenye mzaha, na mjinga atapata busara; Mwonye mwenye ufahamu, naye atatambua maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwadhibu mwenye mzaha naye mjinga atapata akili; mwonye mwenye busara naye atapata maarifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpige mwenye mzaha, na mjinga atapata busara; Mwonye mwenye ufahamu, naye atatambua maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwadhibu mwenye mzaha naye mjinga atapata akili; mwonye mwenye busara naye atapata maarifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukimpiga mfyozaji, ndipo, mjinga atakapoerevuka, ukimwonya mtambuzi, ndipo, atakapotambua ujuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpige mwenye mzaha, na mjinga atapata busara; Mwonye mwenye ufahamu, naye atatambua maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umwazibu mwenye kuzarau naye mujinga atapata akili; umwonye mwenye akili naye atapata maarifa.