Proverbs 19:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemdhulumu baba yake na kumfukuza mama yake, ni mtoto asiyefaa na mpotovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana aletaye aibu na fedheha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Apotezaye mali za babaye na kumfukuza mamaye, Ni mwana aaibishaye, na kuleta lawama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemdhulumu baba yake na kumfukuza mama yake, ni mtoto asiyefaa na mpotovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana aletaye aibu na fedheha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana aletaye aibu na fedheha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Apotezaye mali za babaye na kumfukuza mamaye, Ni mwana aaibishaye, na kuleta lawama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemdhulumu baba yake na kumfukuza mama yake, ni mtoto asiyefaa na mpotovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amtesaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana atiaye soni kwa kutweza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Apotezaye mali za babaye na kumfukuza mamaye, Ni mwana aaibishaye, na kuleta lawama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemutesa baba yake na kumufukuza mama yake ni mutoto asiyefaa na mupotovu.