Proverbs 19:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utapotea mara mbali na maneno ya hekima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utapotea mara mbali na maneno ya hekima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utapotea mara mbali na maneno ya hekima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, acha kuyasikiliza mafunzo, ukitaka kuyakosea tena maneno ya ujuzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, acha kusikia mafundisho, Ukitaka tu kuyaasi maneno ya maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, mara moja utapotea mbali na maneno ya maarifa.