Proverbs 19:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shahidi asiyefaa kitu hudhihaki hukumu, Na vinywa vya wasio haki humeza uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shahidi asiyefaa kitu hudhihaki hukumu, Na vinywa vya wasio haki humeza uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shahidi asiyefaa kitu huidhihaki haki; na kinywa cha mwovu hubugia uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shahidi asiyefaa kitu hufyoza mashauri yaliyo sawa, navyo vinywa vyao wasiomcha Mungu hujilisha mapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shahidi asiyefaa kitu hudhihaki hukumu, Na vinywa vya wasio haki humeza uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushuhuda asiyefaa kitu anazarau sheria ya Mungu; na kinywa cha mwovu kinameza uovu.