Proverbs 19:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake pamoja na hivyo moyo wake humkasirikia BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ujinga wa mtu huipotoa njia yake mwenyewe, lakini moyo wake humkasirikia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akijiangamiza kwa upumbafu wake, anaielekeza hasira yake kwa Yawe.