Proverbs 19:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mali huleta rafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuwa na mali huongeza rafiki, wawe wengi, lakini mnyonge huachwa na rafiki zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mali inavuta warafiki wengi wapya, lakini masikini anaachwa na rafiki yake.