Proverbs 19:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi hujipendekeza kwa wakuu; kila mtu hutaka kuwa rafiki ya mtu mkarimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye tunu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi hujipendekeza kwa wakuu; kila mtu hutaka kuwa rafiki ya mtu mkarimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi hujipendekeza kwa mtawala na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye zawadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi hujipendekeza kwa wakuu; kila mtu hutaka kuwa rafiki ya mtu mkarimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wengi hulalamika usoni pa wakuu, watu wote huwa rafiki zake awapaye matunzo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wengi watamsihi mkuu ili awafadhili; Na kila mtu ni rafiki yake atoaye tunu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi wanajipendekeza kwa wakubwa; kila mutu anataka kuwa rafiki wa mutu mwenye kupana.