Proverbs 19:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, rafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwaomba, hawapatikani po pote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, hawapatikani popote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maskini huchukiwa na ndugu zake wote, wanaozidi ni rafiki zake, hutengana naye humwacha mbali; akiwafuata, aseme nao, sio rafiki zake tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu zote wa maskini humchukia; Jinsi gani rafiki zake huzidi kujitenga naye! Huwafuata kwa maneno, lakini wametoweka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Masikini anachukiwa na wandugu zake; warafiki zake ndio zaidi: wanamukimbia! Hata awabembeleze namna gani, hatawapata.