Proverbs 19:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajipatiaye hekima anaipenda nafsi yake; anayezingatia busara atastawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Apataye hekima hujipenda nafsi yake; Ashikaye ufahamu atapata mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajipatiaye hekima anaipenda nafsi yake; anayezingatia busara atastawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Apataye hekima hujipenda nafsi yake; Ashikaye ufahamu atapata mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajipatiaye hekima anaipenda nafsi yake; anayezingatia busara atastawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Apataye akili hujipenda mwenyewe utambuzi huona mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Apataye hekima hujipenda nafsi yake; Ashikaye ufahamu atapata mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayejipatia hekima anapenda nafsi yake; anayeshika ufahamu atastawi.