Proverbs 2:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote amwendeaye kamwe harudi, wala hairudii tena njia ya uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote amwendeaye kamwe harudi, wala hairudii tena njia ya uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote aendaye kwake akarudi, au kufikia mapito ya uzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote amwendeaye kamwe harudi, wala hairudii tena njia ya uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote walioingia mwake hakuna atakayerudi, wala hakuna atayezifikilia njia za kwenda uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja, Wala hawazifikilii njia za uzima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeyote anayemwendea harudi hata kidogo, wala harudilii tena njia ya uzima.