Proverbs 2:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watang’olewa kutoka humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watang'olewa humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bali waovu watakatiliwa mbali kutoka katika nchi, nao wasio waaminifu watang'olewa kutoka humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watang’olewa kutoka humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini wasiomcha Mungu watang'olewa katika nchi, nao waliomwacha Bwana watapokonywa huku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang’olewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waovu wataondolewa katika inchi, na watu wabaya watangolewa toka ndani yake.