Proverbs 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na ukiitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kama utaitafuta kama fedha na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ukiutafuta, kama unavyotafuta fedha, ukiuchunguza, kama unavyochunguza mali zilizofichwa:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ukitafuta hekima kama feza, na kuitaka kama hazina iliyofichwa,