Proverbs 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hapo utaelewa ni nini kumcha Mwenyezi-Mungu, utafahamu maana ya kumjua Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo utakapoelewa kumcha Mwenyezi Mungu na kupata maarifa ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo utakapofahamu kumcha Bwana, Na kupata kumjua Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hapo utaelewa ni nini kumcha Mwenyezi-Mungu, utafahamu maana ya kumjua Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo utakapoelewa kumcha BWANA na kupata maarifa ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo utakapoelewa kumcha bwana na kupata maarifa ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, Na kupata kumjua Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hapo utaelewa ni nini kumcha Mwenyezi-Mungu, utafahamu maana ya kumjua Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, utakapoitambua maana ya kumcha Bwana, tena ndipo, utakapopata kumjua Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, Na kupata kumjua Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
utaelewa maana ya kumwogopa Yawe, utafahamu maana ya kumujua Mungu.