Proverbs 2:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana hutoa hekima, na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu huwapa watu hekima; kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana huerevusha kweli, kinywani mwake hutoka ujuzi na utambuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe anawapa watu hekima; katika kinywa chake kunatoka maarifa na ufahamu.