Proverbs 20:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Mwenyezi Mungu huchukia vyote viwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, BWANA huchukia vyote viwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, bwana huchukia vyote viwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mizani ya udanganyifu na vipimo vya udanganyifu, vyote ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipimo vya namna mbili na pishi za namna mbili, zote mbili humtapisha Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mizani danganyifu na vipimo danganyifu, vyote ni chukizo kwa Yawe.