Proverbs 20:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna dhahabu, na marijani kwa wingi, lakini midomo inayonena maarifa ni kito cha thamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dhahabu iko, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna dhahabu na marijani kwa wingi, lakini midomo inenayo maarifa ni kito cha thamani kilicho adimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, lakini midomo inenayo maarifa ni kito cha thamani kilicho adimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dhahabu iko, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna dhahabu na wingi wa mawe ya thamani kubwa; lakini cha thamani kubwa zaidi ni maneno ya busara!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa dhahabu ni lulu ziwe nyingi, lakini kiko kitu kizipitacho, ndio midomo yenye ujuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dhahabu iko, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna zahabu na wingi wa mawe ya bei kali; lakini kitu cha bei kali zaidi ni maneno ya maarifa!