Proverbs 20:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie liwe dhamana kwa ajili ya mgeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua vazi la yule amdhaminiye mgeni; lishike kuwa rehani kama atafanya hivyo kwa mwanamke mgeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu akiahidi mbele yako kumdhamini mgeni, chukua nguo yake; mfanye awajibike kwa kuwadhamini wageni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zichukue nguo zake yeye aliyejitoa kuwa dhamana ya mwingine, kwa ajili yao walio wageni mnyang'anye yeye mali zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akiahidi kumukopesha mutu asiyejulikana, unyanganye nguo yake kuwa rehani.