Proverbs 20:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa Bwana; Tena mizani ya hila si njema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipimo viwili humtapisha Bwana, nayo mizani ya kudanganyia haifai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mizani danganyifu ni chukizo kwa Yawe, na vipimo visivyokuwa vya haki ni kitu kibaya.