Proverbs 20:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi Mungu. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenendo wa mtu watoka kwa Bwana; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatua za mtu huongozwa na BWANA. Anawezaje basi mtu ye yote kuelewa njia yake mwenyewe?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatua za mtu huongozwa na bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ndiye anayeiendesha miguu ya mtu, maana mtu anawezaje kuitambua njia yake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatua za mutu zinaongozwa na Yawe; mwanadamu anaweza namna gani kuelewa njia yake?