Proverbs 20:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taa ya Mwenyezi Mungu huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taa ya BWANA huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taa ya bwana huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dhamiri ya mtu ni taa ya Mwenyezi-Mungu; huchunguza nafsi yake mtu mpaka ndani kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya mtu ni taa, aliyopewa na Bwana, nayo huyachunguza yote yaliyomo tumboni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zamiri ya mutu ni taa ya Yawe; inachunguza nafsi ya mutu mpaka ndani kabisa.