Proverbs 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Mwenyezi Mungu; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa Bwana; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wa mfalme uko katika mkono wa BWANA; huuongoza kama mkondo wa maji, po pote apendapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wa mfalme uko katika mkono wa bwana; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wa mfalme ni kama vijito vya maji mkononi mwa Bwana, humpeleka pote panapompendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wa mufalme ni kama maji yanayotiririka; Yawe anauongoza popote anapopenda.