Proverbs 21:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki huitafakari nyumba ya mtu mbaya; Jinsi wabaya waangushwavyo wakaangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki huitafakari nyumba ya mtu mbaya; Jinsi wabaya waangushwavyo wakaangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko mwongofu aiangaliaye nyumba yake asiyemcha Mungu, naye huwapotoa wasiomcha Mungu, wapatwe na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki huitafakari nyumba ya mtu mbaya; Jinsi wabaya waangushwavyo wakaangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye haki anajua yanayokuwa katika nyumba ya waovu: waovu wanaangushwa chini na kuangamia.