Proverbs 21:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zawadi inayotolewa kwa siri hutuliza hasira, na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni humliza ghadhabu kali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni hutuliza ghadhabu kali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira hutulizwa kwa zawadi ya siri; tunu apewayo mtu imefichwa hupooza ghadhabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kipaji kipenyezwacho hutuliza ukali, nayo matunzo yafichwayo penye kujua huzima nao moto mkali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kipawa cha siri hutuliza hasira; Na rushwa bindoni humliza ghadhabu kali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira inatulizwa kwa zawadi ya siri; kituliro kinachotolewa kwa uficho kinatuliza kasirani.