Proverbs 21:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali hofu kwa watenda maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Furaha ya mwongofu ni kufanya yaliyo sawa, lakini wafanyao mapotovu hukuwazia kuwa mwangamizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki ya sheria ikifuatwa, watu wema wanafurahi lakini watu waovu wanafazaika.