Proverbs 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayetangatanga mbali na njia ya busara, atajikuta ametua miongoni mwa wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu aikosaye njia ya busara Atakaa katika mkutano wao waliokufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayetangatanga mbali na njia ya busara, atajikuta ametua miongoni mwa wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu anayepotea kutoka katika mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu aikosaye njia ya busara Atakaa katika mkutano wao waliokufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayetangatanga mbali na njia ya busara, atajikuta ametua miongoni mwa wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu apoteaye kwa kuiacha njia ya ujuzi hupata kupumzika katika mkutano wao waliokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu aikosaye njia ya busara Atakaa katika mkutano wao waliokufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayetangatanga mbali na njia ya ufahamu, atajikuta ametua kati ya wafu.