Proverbs 21:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali Mwenyezi Mungu huupima moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huipima mioyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali BWANA huupima moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali bwana huupima moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia zote za mtu hunyoka machoni pake, lakini Bwana huijaribu mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yote ya mutu ni sawa katika macho yake, lakini Yawe anapima mioyo.