Proverbs 21:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko dhabihu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutenda haki na hukumu Humpendeza Bwana kuliko kutoa sadaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa BWANA kuliko dhabihu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa bwana kuliko dhabihu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutenda mambo mema na ya haki, humpendeza Mwenyezi-Mungu kuliko tambiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kufanya wongofu na kupiga mashauri yaliyo sawa humpendeza Bwana kuliko kutoa vipaji vya tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutenda haki na hukumu Humpendeza BWANA kuliko kutoa sadaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutenda mambo ya haki na kufuata sheria ya Mungu kunamupendeza Yawe kuliko sadaka.