Proverbs 21:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna hekima, maarifa, wala mawaidha yoyote ya mtu, yawezayo kumshinda Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna hekima, maarifa, wala mawaidha yoyote ya mtu, yawezayo kumshinda Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna hekima, wala akili, wala mpango unaoweza kufaulu dhidi ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna hekima, maarifa, wala mawaidha yoyote ya mtu, yawezayo kumshinda Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna werevu wa kweli, wala utambuzi, wala shauri njema mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna hekima, ufahamu, wala shauri yoyote ya mutu, itakayoweza kupingana na Yawe.