Proverbs 21:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farasi hutayarishwa kwa vita, lakini ushindi wamtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, bali ushindi huwa kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini Bwana ndiye aletaye wokovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farasi hutayarishwa kwa vita, lakini ushindi wamtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, bali ushindi huwa kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, bali ushindi huwa kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini BWANA ndiye aletaye wokovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farasi hutayarishwa kwa vita, lakini ushindi wamtegemea Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farasi huwekwa kuwa tayari siku za mapigano, lakini wokovu hutoka kwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini BWANA ndiye aletaye wokovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Farasi anatayarishwa kwa vita, lakini ushindi unaletwa na Yawe.