Proverbs 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho ya Mwenyezi Mungu hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho ya Bwana humhifadhi mwenye maarifa; Bali huyapindua maneno ya mtu haini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho ya BWANA hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho ya bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho ya BWANA humhifadhi mwenye maarifa; Bali huyapindua maneno ya mtu haini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hulinda elimu ya kweli, lakini huyavuruga maneno ya waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho ya Bwana humlinda mwenye ujuzi, lakini maneno yake avunjaye agano huyapindua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho ya BWANA humhifadhi mwenye maarifa; Bali huyapindua maneno ya mtu haini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe analinda maarifa lakini anayavuruga maneno ya waovu.