Proverbs 22:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Mwenyezi Mungu atatumbukia ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na Bwana atatumbukia ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya BWANA atatumbukia ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya bwana atatumbukia ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Mwenyezi-Mungu atatumbukia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vinywa vya wanawake wa wengine ni mashimo marefu, Bwana anayemchukia, utumbukia humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa cha mwasherati ni shimo refu; anayechukiwa na Yawe atatumbukia ndani yake.