Proverbs 22:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anayemdhulumu maskini ili kujiongezea mali, naye anayempa tajiri zawadi, wote huwa maskini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye awaoneaye maskini ili kuongeza mapato, Naye ampaye tajiri, hupata hasara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amuoneaye maskini ili kujiongezea mali, naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye awaoneaye maskini ili kuongeza mapato, Naye ampaye tajiri, hupata hasara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amkorofishaye mnyonge humpatia mali nyingi, amgawiaye mwenye mali humpunguzia mali zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye awaoneaye maskini ili kuongeza mapato, Naye ampaye tajiri, hupata hasara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemutesa masikini kwa kujitajirisha na anayewapa watajiri zawadi, wote wawili wataishia kuwa wamasikini.